Unawekuwa unaekeza katika makumpini ya sigara bila ufahamu.
3,343,188 plays|
Bronwyn King |
TEDxSydney
• June 2017
Tumbaku inasababisha zaidi ya vifo milioni saba kila mwaka-- na baadhi yetu tunahusishwa na tatizo hili kadri ya tunavyodhani. Katika mazungumzo ya wazi, Dr. Bronwyn Kingi asimulia jinsi alivyogundua kwa undani, uhusiano kati ya sekta ya tumbaku na sekta ya fedha ulimwenguni inayoekeza fedha zetu kupitia mabenki makubwa, bima na malipo ya uzeeni. Jifunze vile Dr. King amesisimua msuko kuunda uwekezaji usiotegemea tumbaku na jinsi tunaweza saidia kumaliza janga hili.