Maisha yako ya mtandaoni,ni ya kudumu kama mchoro
2,019,970 plays|
Juan Enriquez |
TED2013
• February 2013
Kama je Andy Warhol alikosea na badala ya kua maarufu kwa dakika 15, hatujulikani tu kwa mda huo? Kwenye haya maongezi mafupi, Juan Enriquez anaangalia kwenye athari za kudumu za kushangaza za kushirikisha kidijitali siri zetu binafsi. Anashirikisha fahamu kutoka kwa Wanagiriki wa kongwe kutusaidia kushughulika na "michoro dijitali" yetu mipya.