Ubabe wa ustahi
2,414,974 plays|
Michael Sandel |
TED2020
• May 2020
Ni nini kisababishacho utengano katika maisha ya umma, na vipi tunaweza anza rekebisha ? Mwanafalsafa wa kisiasa Michael Sandel anajibu la kushangaza: waliofanikiwa wanafaa kujitazama. Anaelezea jinsi "kiburi cha ustahi" hupelekea watu wengi kuamini mafanikio yao ni juhudi yao, na kudharau wasiofanikiwa, na kuleta chuki na kuzidisha mgawanyiko kati ya "waliofanikiwa" na "wasiofanikiwa" katika uchumi mpya. Sikiliza namna ambavyo tunafaa kuzingatia upya maana ya ufanisi na kutambua nafasi ya bahati ili kufikia maisha ya uraia karimu zaidi.