"Rollercoaster" (Gari-bembea)
1,309,776 plays|
Sara Ramirez |
TED Talks Live
• November 2015
Mwimbaji, mwandishi wa nyimbo na mwigizaji Sara Ramirez ni mwanamke mwenye vipaji vingi. Akiungana na Michael Pemberton kwenye gitaa, Ramireza anaimba juu ya fursa, hekima na kuinuka na kuporomoka kwenye maisha katika tamasha hili mubashara la wimbo wake, "Rollercoaster."
Rollercoaster ni bembea mfano wa gari moshi ambayo reli yake inapanda juu sana na kushuka chini. Watu husikia raha wakati wa kupanda au ikiwa juu lakini huogofya wakati wa kushuka chini, kwani huwa kama yaanguka.
Carousel ni bembea mfano wa farasi wanaokwenda wakizunguka duara. Farasi (au viti mfano wa kitu chochote) hufungwa kwenye kamba ipandayo na kushuka mithili ya mwendo wa farasi huku ikizunguka mduara.