Mwongozo wa Kifalaki wa kutumia difibrileta
1,187,742 plays|
Todd Scott |
TEDNYC
• January 2017
Ikiwa Yoda atapata mshtuko wa moyo, utajua nini cha kufanya? Msanii na mkereketwa wa Huduma ya Kwanza Todd Scott anachambua kila kitu unachotakiwa kufahamu kuhusu kutumia AED, "Automated External Defibrillator", kwenye falaki hii na nyingine za mbali. Jiandae kuokoa maisha ya Jedi, Chewbacca (atahitaji kunyolewa kidogo kwanza) au mwingine yeyeote mwenye kuhitaji pamoja na dondoo zenye msaada.
AED ni kifaa-tiba kinachotumia umeme kurudisha mapigo ya moyo katika mwendo wa kawaida