Mpango wa Kustua wa kufanya maandamano na upinzani wa amani kuwa kosa la jinai.
1,160,893 plays|
Will Potter |
TED2014
• March 2014
Mwaka 2002, Mwandishi wa habari za uchunguzi na TED Fellow Will Potter aliamua kupumzika kazi yake ya mara kwa mara ya kuandika kuhusu mauaji kwa ajili ya gazeti la Chicago Tribune. Alienda kulisaidia kundi linalofanya kampeni kinyume na matumizi ya wanyama katika majaribio ya kisayansi. "Nilifikiri itakuwa ni njia salama ya kufanya jambo jema," anasema . Lakini kinyume chake ,alikamatwa, na hapo ikaanza safari yake kwenye dunia ambayo maandamano ya amani yanaitwa ugaidi.